Amnesty International yawashutumu wapiganaji wa Tigray

Your browser doesn’t support HTML5

Ripoti ya Amnesty International inasema wapiganaji wa Tigray wamebaka, wameiba na kuwashambulia wanawake baada ya kuchukua udhibiti kwenye mkoani wa Amhara mwezi Agosti.
Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari