Amnesty International : Baadhi ya nchi adhabu ya kifo imeongezeka

Your browser doesn’t support HTML5

Shirika la kutetea haki za binadamu, Amnesty International, linasema inagawa idadi ya adhabu ya kifo ilipungua sana duniani mwaka 2020, lakini baadhi ya nchi zilishuhudia ongezeko ya adhabu hiyo.
Umoja wa Mataifa yaeleza juhudi za jeshi la Myanmar za kuzima malalamiko dhidi ya mapinduzi zimesababisha karibu wakazi 250,000 kukimbia makazi yao.