Amanda Gorman ang'ara katika sherehe za kuapishwa Biden

Your browser doesn’t support HTML5

Mshairi Amanda Gorman alitumia kipaji chake kuwahasisha Wamarekani kutafakari juu ya mustakbali wa nchi yao na kuwa na kuwa na mshikamano.