Ali Kiba afichua kile kinachoweza kumpandisha hadhi mwanamuziki

Your browser doesn’t support HTML5

Ali Kiba, mwanamuziki wa Tanzania ambaye ni mashuhuri Afrika Mashariki na duniani, aeleza kile ambacho kila mtu ametunukiwa katika fani yake.

na moja analoeleza ni hiba kila mtu aliyopewa na Mungu katika kutekeleza majukumu yake ikiwemo kulinda viwango vya utekelezaji majukumu aliyonayo. Endelea kumsikiliza...