Mahojiano na Naibu waziri Rick Stengel kuhusu kituo cha Sawab

Your browser doesn’t support HTML5

Katika mahojiano na kituo cha televisheni cha Alhurra, Naibu waziri kwa ajili ya diplomasia ya umaa Rick Stengel anajadili juu ya juhudi mpya za pamoja kati ya Marekani na Umoja wa Falme za kiarabu kupambana na ugaidi kwa kutumia mitandao ya kijami.