Ajali za barabarani huua zaidi ya watu milioni moja kila mwaka

Your browser doesn’t support HTML5

Ajali za barabarani zinauwa zaidi ya watu milioni moja kila mwaka, utasikia maoni ya wakaazi wakielezea mlolongo wa ajali za barabarani na Madaktari wakimbizi, ndio waokoaji maisha katika Royal London Hospital.