Ajali ya moto yaua watu 19 wakiwemo watoto 9 New York

Your browser doesn’t support HTML5

Kifaa cha kuleta joto kilichoshindwa kufanya kazi kimesababisha moto ulioteketeza nyumba ya makazi ya watu katika Jiji la Bronx huko Jimbo la New York Jumapili, watu 19 walifariki wakiwemo watoto tisa katika ajali iliyokuwa haijawahi kutokea.