Ajali ya mgodini yauwa zaidi ya watu 100 Myanmar

Your browser doesn’t support HTML5

Wafanyakazi wa uokozi wanasema idadi ya vifo kutokana na mmomonyoko wa ardhi katika mgodi nchini Mynamar imefikia watu takriban 113.