Aina mpya ya virusi vya COVID yaibuka Afrika Kusini

Your browser doesn’t support HTML5

Maambukizi ya aina mpya ya virusi vya COVID-19 yazua tahadhari Afrika Kusini na maeneo jirani.
- Waziri Mkuu wa Ethiopia aendelea kutangaza mapambano makali dhidi ya wapiganaji wa TPLF

- Shirika la Ndege la Air Tanzania lazindua safari ya moja kwa moja hadi Nairobi.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari