Afrika yakumbushia changamoto za ahadi ya dola bilioni 100

Your browser doesn’t support HTML5

Mjumbe maalum wa Afrika kuhusu hali ya hewa akumbushia ahadi ya dola bilioni 100 kila mwaka kutoka nchi tajiri ili kuliwezesha bara hilo kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi.