Afrika na WB zajadili mikakati ya uchumi na chanjo

Your browser doesn’t support HTML5

Viongozi wa nchi za Afrika wakutana na Wawakilishi wa Benki ya Dunia (WB) kujadili mikakati ya kiuchumi na chanjo ya COVID-19.
- Rais wa Afrika Kusini asema vurugu na uporaji umechochewa na kupangwa kwa makusudi.

- Juhudi za uokoaji zaendelea Ujerumani baada ya mafuriko makubwa kutokea barani Ulaya ambayo yalikuwa hayaja shuhudiwa kwa karne kadhaa.