Afrika Mashariki: Watetezi wa haki za wasichana na wabunge wajadili sheria na sera

Your browser doesn’t support HTML5

Watetezi wa haki za wasichana wakishirikiana na wabunge wa Afrika Mashariki wakijadiliana namna ya sheria na sera zilizopitishwa katika mataifa yao zinavyotekelezwa, ili kumaliza unyanyasaji dhidi ya wasichana.

Chini ya mradi wa She Leads unaotekelezwa katika mataifa tisa barani Afrika, wabunge wanawake kutoka Kenya, Uganda, Ethiopia na wasichana kutoka nchi za Afrika Mashariki.