Afrika Mashariki : Hatua mpya zachukuliwa kutatua migogoro

Your browser doesn’t support HTML5

Jitihada za kumaliza migogoro ya kibiashara baina ya Kenya na Tanzania zimeanza kuzaa matunda baada ya nchi hizo kukubaliana kuondoleana vikwazo katika bidhaa zinazopita mpakani.