Afrika Kusini yawachanja nusu ya idadi ya watu wazima

Your browser doesn’t support HTML5

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C. #habari
Licha ya idadi kubwa ya maambukizi ya Corona barani Afrika janga hilo likiwa linaingia mwaka wa pili, nusu ya watu wazima nchini Afrika Kusini wamepokea chanjo.