Afrika Kusini yaomboleza kifo cha mtoto wa Nelson Mandela

Your browser doesn’t support HTML5

Huzuni yatinga Afrika Kusini baada ya mtoto wa Nelson Mandela, Zindzi kuaga dunia akiwa na umri wa miaka 59.