Matukio ya Dunia Afrika Kusini : Ramaphosa amkingia kifua Waziri wa Afya 30 Septemba, 2021 Your browser doesn’t support HTML5 Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amemtetea Waziri wake wa Afya licha ya kuwepo kwa shutma za rushwa dhidi yake.