Afrika Kusini kuanza kutoa vyeti vya chanjo ya COVID-19
Your browser doesn’t support HTML5
Rais wa Afrika Kusini : "Wizara ya Afya hivi karibuni itaanza kutoa cheti cha chanjo cha COVID-19 ambacho kitaonyesha uthibitisho rasmi wa chanjo. Cheti hicho kitatumika kuwezesha safari na mikusanyiko na shughuli nyingine ambazo zinahitaji uthibitisho wa chanjo.”