Afrika Kusini ina matumaini ya kupata chanjo ya COVID-19

Your browser doesn’t support HTML5

Waziri wa Afya wa Afrika Kusini anasema nchi yake ina matumaini ya kupata chanjo ya COVID-19 wakati inaendelea kuzungumza na makampuni ya madawa.