Afisa wa Polisi Malawi ashinda Tuzo ya Ubunifu ya 2017

Your browser doesn’t support HTML5

Inspekta wa Polisi nchini Malawi ameshinda Tuzo ya Ubunifu 2017 kutokana na juhudi zake za kujitolea kuufufua uwanja wa soka uliokuwa umeharibika na kuwa kichaka kwa ajili ya kujenga afya za vijana na kuwaepusha na uhalifu.