Afisa polisi wa zamani Derek Chauvin awasili gerezani
Your browser doesn’t support HTML5
Idara ya Magereza ya Minnesota Marekani imetoa picha ya afisa polisi wa zamani Derek Chauvin baada ya kuwasili gerezani mjini Minneapolis ikiwa tayari amekutikana na hatia ya mauaji ya Marekani Mweusi George Floyd.