Mkutano wa vyuo viikuu vya kiafrika

Your browser doesn’t support HTML5

Wasomi kutoka kote barani Africa walikutana mjini Johannesburg, Africa kusini katika mkutano wa vyuo vikuu vya kiafrica, ikiwa ni sehemu ya kujadili baadhi ya masuala makubwa yanayokabili masomo ya juu barani humo.