Mwandishi wa Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Amerika Abdushakur Aboud yuko Equatorial Guinea akiripoti kuhusu mashindano ya fainali za kombe la mataifa Afrika. Tunazungumza naye kuhusu hatua za kwanza za michuano hiyo na habari nyingine zinazokwenda na fainali hizo.
Your browser doesn’t support HTML5
Ripoti ya Abdushakur Aboud kutoka Ebebiyin