ACT Wazalendo yazindua ilani yake yenye nukta 11

Your browser doesn’t support HTML5

Katiba mpya, uhuru na demokrasia ni kati ya mambo 11 chama cha upinzani ACT Wazalendo inayanadi katika ilani yake ya uchaguzi mkuu Tanzania 2020.