Abiy awaambia ujumbe wa Umoja wa Afrika raia watalindwa

Your browser doesn’t support HTML5

Waziri Mkuu wa Ethiopia awaambia ujumbe wa Umoja wa Afrika raia watalindwa wakati wa mashambulizi katika jimbo la Tigray.
Kamati Kuu ya chama cha upinzani Tanzania Chadema yakutana kufikia hatma ya wanachama wake 19 walioapishwa kuchukua viti maalum bungeni.