Abiy akutana na waziri wa Mambo ya Nje wa China, aahidi kuimarisha ushirikiano katika uongozi

Your browser doesn’t support HTML5

Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed amekutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa China mjini Addis Ababa Ethiopia.

Asema Ethiopia inatarajia kuimarisha ushirikiano wake na China katika masuala ya uongozi ili kuwaunganisha na kuwaongoza vyema watu wa Ethiopia kwa minajili ya kuimarisha uhuru na maendeleo nchini humo.