Abidjan: ABC Fighters wajiandaa kwa Ligi ya Mabingwa wa Kikapu Afrika

Your browser doesn’t support HTML5

Klabu ya Mpira wa Kikapu Abidjan inajiandaa katika msimu wa mwaka 2023 kwa Ligi ya mabingwa wa Kikapu barani Afrika. Ili kujiandaa na BAL, ABC Fighters wananoa ujuzi wao dhidi ya timu ya Mali.

Ungana na mwandishi wetu Sunday Shomari akikuletea maelezo kamili kuhusu maandalizi na nini viongozi wa klabu hiyo wanasema kuhusu maandalizi hayo.