Wakimbizi wa Sudan walioko Marekani watoa wito wa kumaliza mapigano

Your browser doesn’t support HTML5

Wakimbizi wa Sudan walioko Marekani wametoa wito wa kumaliza mapigano katika nchi yao.

Rais wa China Xi Jinping leo ametoa mapendekezo manne ya kumaliza mzozo wa Ukraine.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari