Vijana wa Afrika mashariki wanazungumzia mitandao ya kijamii inavyoficha uhalisia wa maisha ya mtaani.

Your browser doesn’t support HTML5

VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.