Afya ya Papa Francis yaimarika

Your browser doesn’t support HTML5

Afya ya Baba Mtakatifu Francis imeimarika wiki hii yenye harakati nyingi kuelekea sikukuu ya Pasaka.

Mafuriko yaharibu miundombinu Msumbiji na kusababisha usafiri wa umma kusitishwa.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari