Kauli ya Netanyahu kuhusu operesheni ya ardhini Rafah yazua mashaka kwa waptanishi mjini Cairo

Your browser doesn’t support HTML5

Kauli ya Netanyahu kuhusu operesheni ya Rafah imeibua mashaka kwa waptanishi mjini Cairo huku Marekani ikimkemea na kusema haiungi mkono msimo wake.