Vijana wanaeleza changamoto zinazowakabili kupata bima ya Afya wakati kauli mbiu ya WHO katika siku ya Afya inasema Afya Yangu, Haki Yangu

Your browser doesn’t support HTML5

VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.