Meza ya waandishi wa habari ikiangazia matukio muhimu ya wiki, miongoni ukiwemo uchaguzi mkuu wa Senegal.
Your browser doesn’t support HTML5
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.