Ghasia za siku mbili baada ya kutangazwa matokeo ya uchaguzi wa rais Comoro

Your browser doesn’t support HTML5

Maafisa wa usalama wa Comoro wapambana na vijana katika mji mkuu wa Moroni na miji mingine ya visiwa hivyo vya Bahari ya Hindi baada ya tume ya uchaguzi kumtangaza Rais Azali Assoumani mshindi.