Mawakili wa zamani wa Donald Trump watoa ushahidi dhidi yake mahakamani.

Your browser doesn’t support HTML5

Wiki hii tunaangazia rais wa zamani wa Marekani Donald Trump ambaye anakabiliwa na kesi nyingi baadhi zikiwa ni kutokana na biashara zake, huku nyingine zikiwa za tuhuma za udanganyifu kwenye uchaguzi, wakati baadhi ya wanaotoa ushahidi wakiwa mawakili wake wa zamani.