Mchakato wa kutafuta Spika mpya wa Baraza la wawakilishi la Marekani waendelea kuwa kizungumkuti

Your browser doesn’t support HTML5

Wiki hii tunaendelea kufuatilia mchakato wa kutafuta Spika mpya wa Baraza la wawakilishi la Marekani. Wajumbe wa Repablikan kwenye baraza hilo wamekutana Alhamisi kujaribu kusuluhisha migawanyiko iliyopo.