Amin Mwidau azungumzia mdahalo wa pili wa wagombea kiti cha rais wa chama cha Republican

Your browser doesn’t support HTML5

Wagombea saba wa chama cha Republican wanaopigania nafasi ya kukiwakilisha chama chao katika uchaguzi wa rais wa 2024, wazungumzia masuala ya uhamiaji, China na uchumi, lakini wakati mwingi walikua wakibishana vikali.