Dunia inaadhimisha siku ya Afya ya Akili kwa kauli mbiu "Afya ya Akili ni Haki ya Msingi ya Kila Binadamu". Je vijana wanahamasishwa vipi?
Your browser doesn’t support HTML5
VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.