Michuano ya BAL timu 4 zaingia nusu fainali

Your browser doesn’t support HTML5

Katika michauano ya ligi ya klabu bingwa ya Kikapu barani Afrika- BAL inayoendelea huko mjini Kigali timu za Stade Malien, Al Ahly, Petro de Luanda na AS Douanes zimetinga nusu fainali. .