Kikundi kinachotoa misaada cha Marekani cha The Gift of Chess kinafanya warsha Ghana kuwawezesha wanawake na maendeleo ya vijana

Your browser doesn’t support HTML5

VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.