Makundi ya kiraia huko mashariki mwa Kidemokrasi ya Congo yanawasaidia vijana na wanawake kujikwamua na magumu wanayopitia kutokana na vita

Your browser doesn’t support HTML5

VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.