Je, unajua nini kinachokwamisha uwekezaji mkubwa katika sekta ya kilimo?

Your browser doesn’t support HTML5

Mmoja wa wadau wa kilimo nchini Tanzania anaeleza nini hasa kinacho kwamisha uwekezaji mkubwa katika sekta ya kilimo Tanzania. Ungana na mwandishi wetu akikuletea ripoti kamili.