Tanzania: Kutana na Fatuma Saidi Msafiri Msanii wa Muziki na Daktari
Your browser doesn’t support HTML5
Kutana na Fatuma Saidi Msafiri, msichana mwenye shahada ya udaktari na pia ni msanii katika fani ya uimbaji. Ungana na mwandishi wetu Abdushakur Aboud kusikiliza safari yake Fatuma katika ulimwengu wa muziki akisisitiza anaendelea na fani yake ya udaktari kwenye mahojiano haya maalum.