Klabu ya Mpira wa Kikapu ya City Wailers yaendelea kuwa katika hatua nzuri

Your browser doesn’t support HTML5

Klabu ya City Wailers ya mpira wa kikapu iliyoanzishwa miaka kumi na mbili iliyopita imekuwa ikicheza katika hatua nzuri ikishiriki ligi ya kikapu ya kitaifa na nyinginezo, ambapo imeshiriki michuano minane ya NBL tangu 2014.

Timu hii itashiriki kwa mara ya kwanza michuano ya Ligi ya Mpira wa Kikapu ya Afrika BAL. Mwandishi wetu anaeleza ndoto ya timu hii na vipi wamejipanga na changamoto za kupata ushindi.