White House yatoa tuzo kwa wanawake wajasiri duniani

Your browser doesn’t support HTML5

Wakati White House ilikuwa mwenyeji wa tuzo za wanawake wenye uthubutu Jumatano, kwa wote walioonyesha ujasiri katika kukabiliana na changamoto mbalimbali, kundi moja halikuwepo, ambalo ni wanawake na wasichana wa Iran ambao waliingia mitaani kupigania haki zao.