Ziara ya Biden Canada kumulika changamoto kuu zinazokabili ulimwengu

Your browser doesn’t support HTML5

Ziara ya Biden Canada yatarajiwa kuzungumzia baadhi ya changamoto kuu zinazokabili ulimwengu pamoja na vita vya Ukraine, mabadiliko ya hali ya hewa, biashara, uhamiaji na ushawishi wa China.