Polisi wa Kenya leo wametumia gesi za kutoza machozi kutawanya mamia ya waandamanaji wa upinzani wanaolalamikia gharama ya juu ya maisha

Your browser doesn’t support HTML5

Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.