Livetalk: Ziara ya Blinken na maafisa wengine waandamizi wa Marekani barani Afrika

Your browser doesn’t support HTML5

Katika majadiliano ya wiki, Livetalk, leo tunaangazia ziara ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken na maafisa wengine waandamizi wa Marekani barani Afrika.