Serikali ya Tanzania imewasilisha mwelekeo wa bajeti kwa mwaka wa fedha 2023/2024 na mwanaharakati wa wanawake anasema haijawagusa wanawake

Your browser doesn’t support HTML5

VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.