Marekani yashuhudia ongezeko la kupatikana bunduki miongoni mwa wasafiri wa ndege

Your browser doesn’t support HTML5

Mwaka uliopita ulishuhudia idadi kubwa ya bunduki nchini Marekani zilizokamatwa wakati wa ukaguzi kwenye viwanja vya ndege kote nchini. Wataalam na maafisa wanasema kwamba ongezeko hilo ni ishara ya kuongezeka kwa idadi ya wamarekani wanaobeba silaha.