Tamasha la makabila ya asili ya wenyeji Marekani

Your browser doesn’t support HTML5

Wiki hii ndani ya Washington Bureau tunangazia tamasha kubwa la kila mwaka la wenyeji wa makabila ya asili hapa Marekani maarufu kama Seminole Tribal Fare and Pow Wow, ambalo limefanyika wiki hii kusini mwa jimbo la Florida.